Zuzu alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50
Traffic: Imekuaje ukaua watu wote hawa?
Zuzu: Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu wengi kushoto na mmoja kulia, wewe traffic ungefanyaje?
Traffic: Ningemgonga yule mmoja ili kuokoa maisha ya watu wengi
Zuzu: Hicho ndo nilicho kusudia lakini nilivyotaka kumgonga yule mmoja, akakimbilia kwa watu wengi akadhani sijamwona Nikamfuata huko huko!! .......