SIGNS ZA KUNYIMWA

1.ukihappen kulala kwa dem alafu alale na jeans, brathe toka uende kwako

2.kabla mulale then atoe Bible ama akuambie
muombe kabla mlale, boss utakauka, enda kwako

3.mkilala akutandikia ile mattress imechapa
chini ulale, dada ya kunguni wewe kwani kwako hujalipa rent, enda
kwako

4.akikuambia usimguze ama kumuekelea mguu,
mjinga hii
ushanyimwa, toka na usiwai rudi

5.akikuambia atakupeleka ulale kwa neighbor boy, we ni ule msee, ni late lakini enda kwako

6.boy wake akimcall waongee two hours mkiwa bed🛌🏽, i swear uezi pewa, fisi wewe tembea🚶🏼‍♂🚶🏼‍♂

7.akichukua pad aende bathroom kuchange,
nugu hii unangoja confirmation letter ama, nkt!!

8.ukimshika mara ya kwanza akwambie atakufukuza, unangoja nini ng'ombe ya museveni,
kimbiaaaaaaa🏃🏿‍♂🏃🏿‍♂

9.akikupea blanketi yako ajifunike bedsheet,
kua gentleman mpee blanketi na utoke, kondoo wewe🐑🐑

10.ukimdara alafu akuambie 'hunijui wewe' na ni mkamba, brathe utakwama ndani, penda miti
na roho yako yote!...
..
madem hii roho ikome...kama hupei mtu mwambie mapema...hio time umemuwastia angekua anaannalyse bet 😂 😂 😂 😂 😂