Hapa Mtaani Kwetu kuna Mwizi Sugu ameshinda Biko Milioni 30. Sasa alipoulizwa atazifanyia nini Fedha hizo, amesema kwamba anataka Kupanua Shughuli zake! Hapo Sijamuelewa Vizuri, ila naona Majirani wameanza Kuhama Mtaa!