Mirembe Mental Hospital.
DAKTARI :- Unajisikiaje?
Brayo:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.
DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.
Brayo:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali,na nilibet 😂😅
Brayo jo