Unatoka kubuy dhania unapatana na maboys inabidi umezitafuna kama miraa ndio wasijue wewe pia hutumwa sokoni. Peer pressure pia haipendi ujinga😂