Kuna dem hapa ngoma imewekwa akawika "that's my song!!? Mi nimeamka nikamuachia bill......... Sikujua aneza kuwa na ngoma ineza chezwa hadi kwa club 😳 😂😂😂😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂