Jana Massa ya jioni nliona mama fulani na mzee wakiingia kwa majani, nami nkafuata kwa umbali wakati walifika hapo kwa majani nkasikia mzee akiambia huyo mama toa haraka tumalizane saa hii watu wasitupate hapa. Huyo mama akafungua handbag akatoa chupa mbili za tusker wakaanza kukunywa😋😋😋😋
Wee kaa hapo na akili zako za 1 GB uji c yuko hapo