HOW TO HANDLE NAUGHT LANDLORDS:
Nimetoka kuhustle kufika home napata landlord ameongeza padlock yake kwa mlango..... Nimefungua yangu nikaenda nikafunga kwa mlango yake sasa ananipigia simu eti nikamfungulie Nyumba..... kumbe naeza kuwa landlord idhaa Ingine