Ukinunua sukuma week kwa mama mboga unamwambia akuekee kwa karatasi ya black, lakini ukinunua Pizza unazunguka nayo Tao kwa box kama degree 😂 😂 😂