👴🏾Employer: Umesoma mpaka wapi? 👮🏿Watchman: Mpaka Form 4 👴🏾Employer: Unajua kiingereza? 👮🏿Watchman: kwani hao wezi wanakuja ni wazungu? 🚶🏾🚶🏾🚶🏾🚶🏾